Qualification

KUJIUNGA
SIFA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO

-Awe ni raia wa Tanzania.
-Awe na nia ya kujifunza na kuelewa kwa haraka.
-Awe na uwezo wa kusoma na kuandika Kiswahili na Kiingereza.
-Awe ni yule anaye pendelea maswala ya biashara.

WASILIANA NASI KWA:
Tanzania Business Creations Co.LTD
P.O. Box 293 Dar es salaam,
Tel: +255 715 851/767 851 665
+255 784 851 665/776 851 665
Email : tbccltd@gmail.com