About Us

TANZANIA BUSINESS CREATINS COMPANY (TBCC)

Ni kampuni huru iliyosajiliwa nchini Tanzania ili kutoa mafunzo ya uzalishaji wa bidhaa ambazo kwa kawaida uzalishwa na viwanda ambavyo hutumika kila siku majumbani na maofisini. Tunakufundisha bidhaa zinazoweza kushindana katika soko la Tanzania na Afrika Mashariki pamoja na kukuza sekta ya viwanda vidogo vidogo kwa kukufanikisha kumiliki kiwanda chako mwenyewe na kuinua kipato chako na Taifa kwa ujumla wake, pamoja na kutoa ajira.

·Kuwa na jamii bunifu katika uzalishaji wa bidhaa za viwandani
·Kuhamasisha umikaji wa viwanda nchini
·Kukabiliana na changamoto ya kukosa ajira nchini
·Kuinua viwanda vidogo vidogo
·Kurahishisha usambazaji bidhaa muhimu nchini
·Kumudu kuzalisha bidhaa zenye ubora kwa kutumia vifaa vinavyopatikana katika mazingira yako bila kutumia mitambo (machine) na bila kuathiri mazingira